Igedeboyhunter
Member
- May 10, 2016
- 8
- 1
Wanajamvi naombeni msaada kwa anayejua ni taratibu gani zinatakiwa kufuatwa kwa mtu anaye taka kuwa wakala wa bia au soda na je faoda yake inapatikanaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji mimi mkuumim ninauza soda za jumla, lakini sio agent kwa maana ninayojua mim, maana agent huwa anauza soda za aina moja tu kama coca au pesi, so kama unataka kujua kuhusu biashara ya soda za jumla, utasema
mim ninauza soda za jumla, lakini sio agent kwa maana ninayojua mim, maana agent huwa anauza soda za aina moja tu kama coca au pesi, so kama unataka kujua kuhusu biashara ya soda za jumla, utasema
Kwa mfano ukitaka kuwa Agent wa Bia, kwanza kuna kiwango cha mtaji ambacho kinahitajika not less than 100m, pili uwe na eneo la kuhifadhia mzigo, tatu uwe na gari zisizopungua mbili za kuisambazia bidhaa, na pia location iwe haina agent mkubwa mwingine.Mkuu niwekee am intereste kama na maji na majuice unauza weka pia.
Ahsante.
Kwa mfano ukitaka kuwa Agent wa Bia, kwanza kuna kiwango cha mtaji ambacho kinahitajika not less than 100m, pili uwe na eneo la kuhifadhia mzigo, tatu uwe na gari zisizopungua mbili za kuisambazia bidhaa, na pia location iwe haina agent mkubwa mwingine.
Lakini kama ni wakala wa vinywaji mdogo, unaenda kwa maagent wakubwa wanakuuzia kwa bei ya Jumla unapata faida yako kidogo.
kwa jinsi mzunguko wako wa biashara ulivyo ndivyo utakavyokuwa ukipata faida zaidi.