Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Umejaribu njia nyingi zipi?Habali wakuu?
Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea...
Agents,kuapply job mtandaoniUmejaribu njia nyingi zipi?
Agents, kuapply job mtandaoni,kutumia watu wengine kama connection na green cardUmejaribu njia nyingi zipi?
Kuna MIT -Marekani.Habali wakuu?
Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea...
Mmmh asante mkuuKuna MIT -Marekani.
Shukurani mkuu.Je unaweza kunisaidia??Wewe omba utafutiwe kazi kwa huo mwandiko labda unataka kwenda nje ya nyumba yenu
Lakini nikukumbushe kitu,kamwe ktk life usipende kukatisha wengine tamaa.hujui kesho yako itakuwajeWewe omba utafutiwe kazi kwa huo mwandiko labda unataka kwenda nje ya nyumba yenu
Shukurani mkuuNorway wanapokea maomb ya schorlaship ya vocational training
rivoria search utapata maelekezo