Msaada: Kwa anayejua data za bei za mazao masokoni

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Habari wanaJF,

Naomba kujuzwa ni jinsi gani naweza kupata information za bei ya mazao masokon kama data. Kwa mfano kariakoo, nia na madhumun ya data hizo ni kuweka kwenye website ambayo niko mbioni kumalizia, tatizo ni data jinsi ya kuzipata.

Kwa yoyote mwenye uelewa naomba msaada
 
Fanya fild visit vinginevyo utoweza pata data sahihi

Afu unaonekana mvivu wa kufanya data collection
 
Jiunge na vodacom sokon utapata bei za bidhaa kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…