Msaada kwa anayejua dawa ya chunusi (upele)

Broker...

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
38
Reaction score
13
Jamani kwa yoyote anayejua dawa ya chunusi (upele) wa usoni naomba aniambie maana nmetumia dawa lakini bado hazijaisha..
 
Dawa ya Kutibu Upele kwenye Uso: Chukua Siki Ya Apple
(Apple Cider Vinegar)
Kidogo Changanya Na Maji Kidogo Pamoja Na Mafuta Ya Nazi Kidogo Sana, Pakaa Kwenye huo Upele. Subiri Dakika Tano Au Kumi, Kosha Uso Kwa Maji Yaliokuwa Si Baridi Sana. Pakaa Kwa Siku Mara Moja kila siku kwa muda wa siku 7 kisha unipe feedback.
 
Umri miaka 20, nimewahi kwenda kwa dokta wakanichunguza wakagundua uso wangu umejaa mafuta mengi, akanishauri niende duka la vipodozi nikaeleze type ya ngoz yangu ili waweze kunpa lotion inayoendana na ngozi yangu.

Wakanishauri nitumie lotion ya ZOA ZOA NA sabuni yake (zoazoa soap), sasa nimeanza kutumia tangu mwezi wa tano mwanzoni mpaka sasa tatizo langu la chunus bado linasumbua.


Mwenye idea yoyote naomba alete uzoefu wake hapa!

Natanguliza shukrani.
 
kama uko kwenye ndoa fanya hivi,
wakati wa kufanya tendo la ndoa chagueni mchezo wa katerero yale maji yatakayotoka kwenye uke yachukue uyapake usoni kila unapofanya mapenzi itakapofika asubuhi nenda kaoge, fanya hivyo kila mara hiyo ni dawa nzuri ya chunusi
 

Mhhh.. ngumu kumesa...
 
Kwa umri wako huo chunusi ni jambo la kawaida, ni sehemu ya ukuaji. Hivyo usijali sana.
Maana nikikupa mbinu sahihi za kumaliza chunusi naweza kukudumbukiza kwenye Gonjwa la Ukimwi.
 
Zainab clay ikigoma nunua clincin gel pharmacy yoyote.
 
Pole sana. Mimi pia hilo tatizo ninalo. Nikinyowa ndevu kwa nyembe au kwa mashine bado mavipele yanatokea. Mpaka nikasema sasa hizi ndevu niziuze lakini haikuwezekana.

Kaka ngozi zetu sisi wengine nizafanana na chuma cha pua, tumia mafuta ya chuma kupaka maeneo hayo mara 2 kwa siku. Muda wa kulala na asubuhi. Wiki moja tu, kweisheni
 
umri unaruhusu... subiri miaka miwili au mitatu baadaye utaona zinaisha zenyewe.
 
Nilikuwa na tatizo LA chunusi tangu kubalehe. Na nilikuwa usoni tu. Hili tatizo niliishi nalo mpaka nikazoea. Lakini ilifika wakati nikaomba mungu nijue tatizo nini. Wazima likaja niache kula baadhi ya chakula. Nikaacha kunywa soda. Chunusi zikawa zinakuja tu. Nikaacha na kiti moto, wapi. Nikaacha kuacha kula chipsi mayai. Aisee wiki mbili chunusi zikaanza kuondoka. Mpaka Leo. Kumbe alas, mayai. Mayai bwana. Nilikuwa na allergy na mayai. Mpaka Leo hamna chunusi na mayai sili tena. Angalizo usiende kufanya allergy test. Utaambiwa usile vitu kibao. Wewe ndo daktari wa kwanza kujitibu. Acha kula baadhi ya chakula kwa mwezi mmoja mpaka ujue tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…