Kama haujichubui na wala haupaki lotion kali kuna makala nilisomaga weusi chini ya macho uswahili tunasema miwani inaweza kusababishwa kuto lala usingizi wa kutosha binadamu anapaswa Kulala masaa 8 hata 7Hapana sijawahi kujichubua.
na hali hii imeanza kunitokea mwaka huu..