Msaada kwa anayejua dawa ya mama mjamzito kutema mate hovyo.

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,527
kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kwa yeyote anayejua dawa ya tatizo hilo anisaidie tafadhali
 
Hayo mimba ikifikia miez mitano yanakata yenyewe ukila kitu yanakata kwa muda tu. Bàadae yanaendelea
Ahsante kwa ushauri wako ila huyu huwa hayakati mpaka anajifungua sasa nikajua labda kuna dawa maana usiku analala na kopo pia kukaa na wenzie anaogopa maana muda wrote ni kutema mate
 
Mimba aiseee zingine zina karaha
Mimi nilitema mate mpk miezi 5,yalikata
Sema mdomo haukuwa na ladha zuri mpk wiki moja baada ya kujifungua
 
Pole yake akiwa na watu awe anatafuna big g inasaidia kwa muda
Ahsante kwa ushauri wako ila huyu huwa hayakati mpaka anajifungua sasa nikajua labda kuna dawa maana usiku analala na kopo pia kukaa na wenzie anaogopa maana muda wrote ni kutema mate
 
Ahsante kwa ushauri wako ila huyu huwa hayakati mpaka anajifungua sasa nikajua labda kuna dawa maana usiku analala na kopo pia kukaa na wenzie anaogopa maana muda wrote ni kutema mate
Dawa ni kujilazimisha kuyameza tu ndani ya siku mbili ,hayata jaa tena mdomoni, ni ngumu ila akiweza na tatizo linakoma, mi ndo ilinisaidia, akijisikia kutema tu, ameze
 
Ahsante sana kweli ni ngumu lkn ngoja ajitahidi afanye
 
Dawa ni kujilazimisha kuyameza tu ndani ya siku mbili ,hayata jaa tena mdomoni, ni ngumu ila akiweza na tatizo linakoma, mi ndo ilinisaidia, akijisikia kutema tu, ameze

Akiweza hii basi tatizo limeisha ingawa mwanzo ni ngumu kuyameza unaweza tapika hadi ukae chini
 
kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kwa yeyote anayejua dawa ya tatizo hilo anisaidie tafadhali
Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia mama mjamzito anazuiwa kutema hovyo...ngoja akuchukie ndio utakoma hapo kwanini unamkatisha.
 
Ndugu utahangaika sana mimi mimba zangu zote mbili nilitema mate mpk mwisho nilijarib kila aina ya ushauri ila ilishindikana
 
Back
Top Bottom