Mkuu hizo green apples ni dawa au tunda?
Ahsante kwa ushauri wako ila huyu huwa hayakati mpaka anajifungua sasa nikajua labda kuna dawa maana usiku analala na kopo pia kukaa na wenzie anaogopa maana muda wrote ni kutema mateHayo mimba ikifikia miez mitano yanakata yenyewe ukila kitu yanakata kwa muda tu. Bàadae yanaendelea
Ahsante kwa ushauri wako ila huyu huwa hayakati mpaka anajifungua sasa nikajua labda kuna dawa maana usiku analala na kopo pia kukaa na wenzie anaogopa maana muda wrote ni kutema mate
Dawa ni kujilazimisha kuyameza tu ndani ya siku mbili ,hayata jaa tena mdomoni, ni ngumu ila akiweza na tatizo linakoma, mi ndo ilinisaidia, akijisikia kutema tu, amezeAhsante kwa ushauri wako ila huyu huwa hayakati mpaka anajifungua sasa nikajua labda kuna dawa maana usiku analala na kopo pia kukaa na wenzie anaogopa maana muda wrote ni kutema mate
Dawa ni kujilazimisha kuyameza tu ndani ya siku mbili ,hayata jaa tena mdomoni, ni ngumu ila akiweza na tatizo linakoma, mi ndo ilinisaidia, akijisikia kutema tu, ameze
Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia mama mjamzito anazuiwa kutema hovyo...ngoja akuchukie ndio utakoma hapo kwanini unamkatisha.kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kwa yeyote anayejua dawa ya tatizo hilo anisaidie tafadhali
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Mpige denda yatakauka