Asante, Mimi nimeacha kwa sasa , MTU unaamka saa 8 za usiku unaanza kutema mate hatari Sana.Polen wajawazito... Alafu unakutana na kitoto kunamdharau mama
Nashukuru kwa ushauri amejaribu kutumia njia hii angalau yamepungua japo hayajaishaDawa ni kujilazimisha kuyameza tu ndani ya siku mbili ,hayata jaa tena mdomoni, ni ngumu ila akiweza na tatizo linakoma, mi ndo ilinisaidia, akijisikia kutema tu, ameze
Hongera mama wawili.Ndugu utahangaika sana mimi mimba zangu zote mbili nilitema mate mpk mwisho nilijarib kila aina ya ushauri ila ilishindikana
ππmpeleke kanisani wachungaji wakamuombee hayo ni mapepo. akiombewa ataacha kutema mate.
Asantee sanaHongera mama wawili.