Msaada kwa anayejua jinsi ya kutengeneza pipi za watoto.

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
115
Wadau naomba mnisaidie mtu anayejua jinsi ya kutengeneza pipi na marigafi zinapatikana wapi, na kuweza kupata radha tofaut tofut, au kama unajua wapi pa kupata ushauri pia nitashukuru.

Na pia je vifaa gan vinatumika na vinaweza kupatikana wapi?
 
wadau naomba mnisaidie mtu anayejua jinsi ya kutengeneza pipi na marigafi zinapatikana wapi, na kuweza kupata radha tofaut tofut, au kama unajua wapi pa kupata ushauri pia nitashukuru. na pia je vifaa gan vinatumika na vinaweza kupatikana wapi
tazama kwenye dstv kuna channel inaitwa Food wanavitu vingi sana wale jamaa utengenezaji wa pipi ni mmoja wapo mi binafsi nilivutiwa sana...
 
... wakati unasubiri Wataalamu waje, jaribu kuulizia SIDO. Sina hakika, lakini ninadhani wanaweza kuwa na Ma-utaalamu hayo kama sehemu ya "Food Processing".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…