P Poker face Member Joined Mar 12, 2013 Posts 47 Reaction score 0 Jun 18, 2013 #1 Kwa wale form 6 tunaoripoti katika kambi tulizopangiwa je kuna maelekezo yoyote kuhusu vitu tunavyotakiwa kwenda navyo mfano nguo n.k. ? Kwa anayejua anisaidie hapo.
Kwa wale form 6 tunaoripoti katika kambi tulizopangiwa je kuna maelekezo yoyote kuhusu vitu tunavyotakiwa kwenda navyo mfano nguo n.k. ? Kwa anayejua anisaidie hapo.
P Poker face Member Joined Mar 12, 2013 Posts 47 Reaction score 0 Jun 18, 2013 Thread starter #2 benjamin mwanjowe said: dah mkuu mwenyewe naenda ruvu jkt but still now sielewi nn nibebe.mwenye uelewa atudokeze ,tusije beba vitu tukaishia kupata kipigo heavy:nod: Click to expand... Ndo ivyo mkuu
benjamin mwanjowe said: dah mkuu mwenyewe naenda ruvu jkt but still now sielewi nn nibebe.mwenye uelewa atudokeze ,tusije beba vitu tukaishia kupata kipigo heavy:nod: Click to expand... Ndo ivyo mkuu
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Jun 18, 2013 #3 Mnataka lonja