Msaada: Kwa anayejua makampuni haya ya Bima

Rabin

Senior Member
Joined
Mar 21, 2009
Posts
181
Reaction score
39
Jamani habari za kazi.

Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua makampuni haya ya bima ya kimataifa kama yako hapa Tanzania au yana agents/representatives wao. kama unayajua hata kama siyo yote naomba mawasiliano yao tafadhali,
kama hutajisikia vizuri kuweka mawasiliano hapa basi nitumie kwa email: asanteboniface@gmail.com au
kwa text message/ whatsapp +255 655 25 55 54, msaada wenu tafadhali.

ZURICH INSURANCE
ING
AIA
AXA
SBER BANK
ALLIED IRISH
MET LIFE
PING AN
AIG
ALLIANZ
CHINA LIFE INSURANCE
 
Nenda kwenye website ya TIRa (Tanzania insurance regulatory authority) hapo utapata orodha ya kampuni zote za bima, agents, brokers). Usipopata hapo hizo unazoziulizia jua hazipo Tanzania
 
Asante sana kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…