mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Wakuu nawasalimia. Kama kichwa kinavyojieleza. Nina shida ya dawa ya kuzuia mnyauko tajwa hapo juu. Kwa anayejua ninakoweza kuipata kwa Dar es Salaam naomba nielekezwe kabla mambo hayaharibika. Natanguliza shukran.