mpenda arage JF-Expert Member Joined Nov 10, 2015 Posts 1,677 Reaction score 3,806 Jun 30, 2021 #1 Wakuu nawasalimia. Kama kichwa kinavyojieleza. Nina shida ya dawa ya kuzuia mnyauko tajwa hapo juu. Kwa anayejua ninakoweza kuipata kwa Dar es Salaam naomba nielekezwe kabla mambo hayaharibika. Natanguliza shukran.
Wakuu nawasalimia. Kama kichwa kinavyojieleza. Nina shida ya dawa ya kuzuia mnyauko tajwa hapo juu. Kwa anayejua ninakoweza kuipata kwa Dar es Salaam naomba nielekezwe kabla mambo hayaharibika. Natanguliza shukran.