Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi namjua mteja hata uwe na tani 1000 ananunua.uko wapi na unayo kiasi gani?habari wanajukwaa,ningependa kujua soko la alizeti linapatikana wapi na bei.je ni aina gani ya alizeti ambayo ni nzuri nyeupe ama nyeusi.nawasilisha