Msaada kwa anayejua soko la alizeti

KANAL

Senior Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
112
Reaction score
64
habari wanajukwaa,ningependa kujua soko la alizeti linapatikana wapi na bei. Je, ni aina gani ya alizeti ambayo ni nzuri nyeupe ama nyeusi.

Nawasilisha.
 
ngoja watakuja wataalamu au ungejaribu kutafuta wale sundrop watenganezaji wa mafuta ya alizeti.
 
upo wapi.?
hiyo alizeti unayo au unataka kununua?
itigi-manyoni kuna biashara hiyo.
 
habari wanajukwaa,ningependa kujua soko la alizeti linapatikana wapi na bei.je ni aina gani ya alizeti ambayo ni nzuri nyeupe ama nyeusi.nawasilisha
mimi namjua mteja hata uwe na tani 1000 ananunua.uko wapi na unayo kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…