Ebenezer14
Member
- Oct 7, 2022
- 5
- 3
Soko lipo, sema kuna Utaratibu Buyers wanataka Ufanye...
Watakuelekeza Ukachimbe namna wanataka, watakuelekeza namna ya kufunga Mzigo, namna ya kusafirisha, wanataka mzigo utoke Mgodini uufunge chap, straight Sokoni, wananunua kuanzia 5 kg!
Wanataka jiwe la Sumaku linalokamata Chuma!
So unafanya Video kwanza, ukifanya test ili buyer aone!
Nawezaje kukupa namba ya End Buyer? Wewe kama Mgodi upo nao kweli fanya Video kama nilivyokuambia!Unaweza kunisaidia contact zao
Kwaiyo unataka uwe mtu wa kati? au unataka ununue kwa chini ukauze kwa bei ya juu umnyonge jamaaNawezaje kukupa namba ya End Buyer? Wewe kama Mgodi upo nao kweli fanya Video kama nilivyokuambia!
Hii mambo ya kutoa namba ya Buyer kwa Stranger haipo siku hizi, Buyer wenyewe Whites!
Yeye ndo ataenda kuuza Mawe yake kwa Buyer, baada ya kujiridhisha na kila kitu naenda kumkutanisha na Buyer, akiwa na Mzigo anaenda kufanya Biashara!Kwaiyo unataka uwe mtu wa kati? au unataka ununue kwa chini ukauze kwa bei ya juu umnyonge jamaa
Duh mdogo wa hivo upo kigoma .usiweke number ya buyer weka estimate price biashara bila kupata bei hakuna anaejisumbua .Yeye ndo ataenda kuuza Mawe yake kwa Buyer, baada ya kujiridhisha na kila kitu naenda kumkutanisha na Buyer, akiwa na Mzigo anaenda kufanya Biashara!
All in all commission lazima iwepo, nawezaje kumpa Stranger namba ya Buyer, je kama Taperi, je kama sio mtu Mzuri?
Kwangu Bora kumpoteza Seller kuliko Buyer.
Una maana iron ore?Wakuu habari zenu,
Naomba kujua kama kuna mtu anayefahamu soko la mawe yenye madini ya sumaku kuna sehemu yapo.
Sasa kama kuna mtu anayefahamu soko lilipo, naomba msaada tafadhari.
Mkuu sumaku inaenda kuwa bidhaa ya gharama kubwa mda sio mrefu, kuna mapinduzi makubwa sana ya engine, tekinolojia hii kwa sasa ipo banned ukipatikana unaeza uawaSoko hakuna ilo wala usijisumbue mapinduzi ya sumaku za umeme ndio yameshambulia ilo soko
Nipo nayo nicheki nikupe videoMwenye haya mawe nayatafuta
Tafuta jina lake la kitaalam, ukilipata utapata soko kirahisi Ebenezer14