mtuwewe
Member
- Jul 18, 2016
- 47
- 25
Habari wana jf,
Kama kichwa cha habali kinavojieleza hapo juu,naomba msaada kwa anayejua vizuri hiyo gari uzuri na mapungufu au changamoto zake kwani nimeipenda nataka kuagiza japani kupitia BEFOWARD ,Najua humu kupitia hapa nitapata ushauri mzuri kwani sina ndg au rafiki aliyewahi miliki gari aina hii,