Unataka iwe funeral transportNi zuri
Habari yako mkuu Caldina ni gari nzuri sana ila inategemea unataka kufanya kwa matumizi gani , kama ni kifamilia zaidi ni gari safi ukapata ya mwaka kuanzia 2004 & kama unahitaji kwa ajili ya matumizi ya kazi ngumu ni vyema ukachukua ya kuanzia miaka ya 2003 kushuka chini.. Kwa msaada zaidi waweza tembelea page yangu Instagram www.instagram.com/autocom_tanzania_branch au whatsapp number 0715 203300Habari wana jf,
Kama kichwa cha habali kinavojieleza hapo juu,naomba msaada kwa anayejua vizuri hiyo gari uzuri na mapungufu au changamoto zake kwani nimeipenda nataka kuagiza japani kupitia BEFOWARD ,Najua humu kupitia hapa nitapata ushauri mzuri kwani sina ndg au rafiki aliyewahi miliki gari aina hii,
Nashukuru mkuu nitakuchekiHabari yako mkuu Caldina ni gari nzuri sana ila inategemea unataka kufanya kwa matumizi gani , kama ni kifamilia zaidi ni gari safi ukapata ya mwaka kuanzia 2004 & kama unahitaji kwa ajili ya matumizi ya kazi ngumu ni vyema ukachukua ya kuanzia miaka ya 2003 kushuka chini.. Kwa msaada zaidi waweza tembelea page yangu Instagram www.instagram.com/autocom_tanzania_branch au whatsapp number 0715 203300