Msaada: Kwa anayejua wapi nitapata oven ya kuokea mikate inayotumia mkaa

Msaada: Kwa anayejua wapi nitapata oven ya kuokea mikate inayotumia mkaa

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
852
Mwenye idea hiyo kitu ninaweza nikapata wapi, prefarably iwe dar.
Natanguliza shukrani.
 
nenda TATEDO wako pale bamaga karibu na chuo cha ustawi wa jamii au hongera bar, wana majiko ya oven, majiko ya kawaida, solar dyers n.k ni vizuri
 
Nenda TATEDO ipo Bamaga, near hongera bar utapata chaguo lako.
 
nenda TATEDO wapo pale karibu na chuo cha ustawi wa jamii ukaangalie bei zake kwanza kama vipi mimi ninalo silitumii linahitaji marekebisho kidogo nitakuuzia.
 
Back
Top Bottom