Msaada kwa anayemfahamu huyu mrembo

Nishampata na zawadi nishatuma kwa alienipa tip.

Demu anaitwa taxx.x kule insta, chotara wa kizungu na kibongo.

Fashionista, haliki, period.

Mtoto wa wakubwa huyo, mtaishia jela vijana
Umeamini sasašŸ˜‚
 
Sio huyu nlokua namtaka. Tumesema mwenye tshirt nyeusi wewe unaleta huyu.

Na nshampata nmekwambia toka huko juu.

Acha kutumia hilo neno 'bwege'

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro mbona msumbufu wewe?!! Bas yaishe naona unaanza kupanick
 
Huyu dada mweupe aliyesimama na kucheza juu ya gari anaitwa nani? Nimetokea kumkubali kwani ana 'swaga'. Povu linaruhusiwa.

View attachment 2681117
Huyo mweusi aliyevaa wigi na t-shirt ya kijani anaitwa Ainory Mugesi , aliwahi kushiriki miss Tanzania , Miss Kinondoni , Miss East Africa !
Ukiweza kumuaccess huyu mkuu , itakua rahisi kwako kuipata hiyo mali nyingine. Kila la heri mkuu
 
Hao wawili wote walishiriki huko, huyo anaecheza sana ni next level. Japo kuna hilo kampuni lililoandaa hio clip, ukiwa na mshikaji humo unaruka na mawasiliano yao japo sio guarantee watakujibu
Kibunda kama kipo unafanyiwa delivery kabisa mkuu , shida tunaunga unga kichizišŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…