Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

Hot27

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
372
Reaction score
691
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Back
Top Bottom