Msaada kwa anayeuelewa ugonjwa wa OVARIAN CYST

mrsleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
2,588
Reaction score
3,877
Habari wapendwa.

Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo akapona, ni hospitali gani au daktari gani mzuri wa ugonjwa huo, its very urgent plz, hata wanaume ambao wanaweza kuwa na msaada karibuni kuchangia
 
Pole nausikia tu huu ugonjwa

Umejaribu kwenda kwa madaktari wa kina mama??
 
Nenda kwa Dokta Mwaka Buguruni kabla Hospitali hawajakufanyia Operation zao za Mafunzoni
 
niliwah kuusoma kwenye kitabu cha biological science nlipokuwa advance, now ngoja nisikilize wataalam
 
Nenda jukwaa la madokta watakusaidia zaidi
 
Pole nausikia tu huu ugonjwa

Umejaribu kwenda kwa madaktari wa kina mama??

Nimejaribu na nimeshapewa dawa kama mara 3 hivi lakini ndo kwanza ttizo linazidi kuongezeka sasa juzi wameniambia inabidi wanifanyie operation, sasa kabla sijaafikia hiyo operation nataka nijaribu kwa madokta wengine
 
ni uvimbe unakaa kwe ovary lkn wenyewe unajaa maji mi ilisababishwa na pelvic inflamatory disease ambayo inakua cozd by multiple infections za vagina kama utis,stds n douching my case ilikua douching nkua napenda sanaa kunawa na sabuni za vagina km zle za oriflame etc sasa infection inapanda kwe kizazi ndo kama hvo inatengeneza uvimbe kama huo unajaa maji mine was big lkn ulitubika kwa dawa n as u can see kizazi kiko poa tuu at first nlipanic lkn it wasn a big deal nlitumia dawas na kumonitor kama miez 3 it was gone completely na nmeacha kabisaa kucheza na hko kwe vagina mpk leo wala sjawah kupata hata uti ama yeast infections kwa maswali zaidi tutaonana bdae my 4n is dyn hlf nmesahau charger mbalii

hiki ndo nimefanikiwa kupata kwa my frnd ambaye aliugua huu ugonjwa.. akiwa hewani nitaku pm mamii kwa maelezo zaidi. ugua pole mpz
 
nenda hospital ya dr. kairuki ulizia gyno anaitwa dr. mbulumi au dr Clementina...
 
Check with Prof Mgaya wa Marie hospital
Niliwahi kupata same problem and it was from hormonal imbalance kwa mara ya kwanza walitaka kunifanyia surgery ila nilivyoenda kwa Mgaya sikufanyiwa huo upasuaji and am fit now
Kuna cyst nyingne ambazo zinakua zinatokea baada ya ovulation so zinakuja kupasuka zenyewe ila ukikutana na dactari wa uchocho na mwenye kupenda upasuaji anaweza kukupasua bila ya kujali
Check with Mgaya his costs might be a little bit high ila he has humanity in him atakushauri vizuri
 
huko ndiko ninakotibiwa sasa, ila dawa wanazonipa mpaka sasa hazijafanya kazi na maumivu yanaongezeka kila siku na uvimbe unazidi kukua
 
Thanks dear, mimi hilo tatizo kwa maelezo ya daktari limesababishwa na hormonal imbalance
 
Check with Prof Mgaya wa Marie hospital
Niliwahi kupata same problem and it was from hormonal imbalance kwa mara ya kwanza walitaka kunifanyia surgery ila nilivyoenda kwa Mgaya sikufanyiwa huo upasuaji and am fit now
Kuna cyst nyingne ambazo zinakua zinatokea baada ya ovulation so zinakuja kupasuka zenyewe ila ukikutana na dactari wa uchocho na mwenye kupenda upasuaji anaweza kukupasua bila ya kujali
Check with Mgaya his costs might be a little bit high ila he has humanity in him atakushauri vizuri

Hata mimi imesababishwa na hiyo hormonal imbalance
 
huko ndiko ninakotibiwa sasa, ila dawa wanazonipa mpaka sasa hazijafanya kazi na maumivu yanaongezeka kila siku na uvimbe unazidi kukua

basi ungejaribu anachokushauri shmd65 mah... ugua pole na mungu akusaidie upone ila usikubali upasuaji kwanza... fanya iwe nihatua ya mwisho kabisa baada ya dawa kushindwa kumaliza tatizo
 
Nashukuru, ntafanya hivyo
 
Habari wapendwa.

Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo akapona, ni hospitali gani au daktari gani mzuri wa ugonjwa huo, its very urgent plz, hata wanaume ambao wanaweza kuwa na msaada karibuni kuchangia

samahan,naomba kujuzwa huu ugonjwa maumivu yake ni during period tu au mda wote?ulijisikiaje mpk ukaenda kupima ukaambiwa una huo ugonjwa?
 
Pole my dear,mim nilitolewa mwk jana ila ulikuwa mkubwa sn kilo nane ningekuwa najua kurusha picha ningekuwekea uone labda kwa whatsap..ila km umefikia tumbo linavimba nenda tu katoe kwa dawa ni uongo ht mm nilishahainga sn ila wk wenye bht unaisha km ukiwah
 
Back
Top Bottom