Nenda kwa Dokta Mwaka Buguruni kabla Hospitali hawajakufanyia Operation zao za Mafunzoni
Pole nausikia tu huu ugonjwa
Umejaribu kwenda kwa madaktari wa kina mama??
Nimejaribu na nimeshapewa dawa kama mara 3 hivi lakini ndo kwanza ttizo linazidi kuongezeka sasa juzi wameniambia inabidi wanifanyie operation, sasa kabla sijaafikia hiyo operation nataka nijaribu kwa madokta wengine
ni uvimbe unakaa kwe ovary lkn wenyewe unajaa maji mi ilisababishwa na pelvic inflamatory disease ambayo inakua cozd by multiple infections za vagina kama utis,stds n douching my case ilikua douching nkua napenda sanaa kunawa na sabuni za vagina km zle za oriflame etc sasa infection inapanda kwe kizazi ndo kama hvo inatengeneza uvimbe kama huo unajaa maji mine was big lkn ulitubika kwa dawa n as u can see kizazi kiko poa tuu at first nlipanic lkn it wasn a big deal nlitumia dawas na kumonitor kama miez 3 it was gone completely na nmeacha kabisaa kucheza na hko kwe vagina mpk leo wala sjawah kupata hata uti ama yeast infections kwa maswali zaidi tutaonana bdae my 4n is dyn hlf nmesahau charger mbalii
hiki ndo nimefanikiwa kupata kwa my frnd ambaye aliugua huu ugonjwa.. akiwa hewani nitaku pm mamii kwa maelezo zaidi. ugua pole mpz
Check with Prof Mgaya wa Marie hospital
Niliwahi kupata same problem and it was from hormonal imbalance kwa mara ya kwanza walitaka kunifanyia surgery ila nilivyoenda kwa Mgaya sikufanyiwa huo upasuaji and am fit now
Kuna cyst nyingne ambazo zinakua zinatokea baada ya ovulation so zinakuja kupasuka zenyewe ila ukikutana na dactari wa uchocho na mwenye kupenda upasuaji anaweza kukupasua bila ya kujali
Check with Mgaya his costs might be a little bit high ila he has humanity in him atakushauri vizuri
huko ndiko ninakotibiwa sasa, ila dawa wanazonipa mpaka sasa hazijafanya kazi na maumivu yanaongezeka kila siku na uvimbe unazidi kukua
huko ndiko ninakotibiwa sasa, ila dawa wanazonipa mpaka sasa hazijafanya kazi na maumivu yanaongezeka kila siku na uvimbe unazidi kukua
Habari wapendwa.
Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo akapona, ni hospitali gani au daktari gani mzuri wa ugonjwa huo, its very urgent plz, hata wanaume ambao wanaweza kuwa na msaada karibuni kuchangia