MSAADA KWA ANAYEWEZA KUFAFANUA HILI LA UAZIMAJI WA WACHEZAJI

kweli mkuu huyo jamaa amekuwa kama sungura na mkungu wa ndizi
 
mbona povuuuuuuu mana na mimi pia ni shabiki wa yanga vilevile sasa ww nashangaa unabwabwaja tuuuuuuuuuuuuuuuu upupu nyambaffffffffffffffffffffffffffffff
 
Timu inaruhusiwa kuazima mchezaji na kuazimisha mchezaji bila choyo yeyote baada ya mashindano atarejea kwenye clabu yake
 
Yanga kweli ma k... Si wamchukue kichuya/okwi
Kichuya na Okwi kanuni hazikubali maana wameishacheza mashindano y'a CAF kupitia Klabu yao ya Simba, n'a ni mashindano hayo hayo ambayo Yanga anacheza sasa baada ya kuchemsha champion league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…