Msaada kwa anejua malipo ya korosho Mtwara

Msaada kwa anejua malipo ya korosho Mtwara

G 25

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
56
Reaction score
6
Ni mjasiriamali niliuza korosho kwa mfumo wa stakabadhi ghalani tangu tr.15 September, mpaka leo nasikia hawajaanza kulipa' please kwa mwenye kujua naomba anifahamishe'
 
Mtwara waliandamana jana mmoja kapigwa na kitu kitu chenye ncha kali
 
Mtwara waliandamana jana mmoja kapigwa na kitu kitu chenye ncha kali'
 
Back
Top Bottom