Msaada kwa binti huyu aliyetoa Mimba

Msaada kwa binti huyu aliyetoa Mimba

FAIR PLAY

Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
54
Reaction score
6
Ndugu wanajamvi wenzangu, kuna binti ni jirani yangu kanifuata kuomba ushauri kwa kuwa mtaani naitwa jina la Doctor akidhani mimi Doctor kweli kumbe jina.

Inasikitisha kwa umri wake, ila yafaa apate msaada kwani kanisimulia alikua na Ujauzito wa mwezi na akautoa week moja iliyopita, ila bado anasIkia hali ya kutapika na kichefchefu.

AmerudI kwa Doctor amesafishwa ila bado hali inaendelea kumrudia. Je, inasababishwa na nini?

Nawasilisha.
 
mkuu sidhani kama mtu wa namna hiyo anahitaji kuhurumiwa kitendo alicho kifanya ni cha kinyama sana ila namshauri arudi tena hospitali kwa uchunguzi zaidi
 
naweza kukushauli nini cha kufanya endapo tu utaniambia kinagaubaga kwamba kwa nini wewe unaitwa doctor wakati sio doctor
 
kuna uwezekana katoto kamekataa kutoka, kuna watoto wabishi.... pia kwa sababu ni binti mdogo kama ulivyosema, kuna uwezekano pia ameenda zahanati za uchochoroni wale huwaga hawatoi wanakomoa wanaweza kukuachia kiumbe... ushauri atafute pesa ya maana kama alivyoweza kumpata rijali then aende hospital ya maana aanze mwanzo kabisa kupima mimba na kama ipo alee maana huyo kagoma akiforce wataenda wote.
 
zitakoma coz ndo kwanza mwez 1 na hzo ziko miez mitatu ya mwanza ajitahidi kula vyakula visivyo namafuta.si vzr kutoa mimba ni hatari kwa afya yake.
 
Leteni hoja zenye mashiko wakuu. Huyo mbinbi amfuate bwana wake wakashauriane. Mbona siku aliyokwenda kubeba mimba hakuja kuomba ushauri?
 
Kwanza rekebisha kauli yako,sema AMEUA siyo kutoa mimba....
 
Back
Top Bottom