Leak? Amepima level kujua ipo kiasi gani mkuu?
Hii gari haiji na normal deep stick kupima level ya fluid, bali pale kwenye draining hole(sehemu ya kumwagia oil) ukifungua ile nati ya kumwagia transmission fluid, kuna tube kwa ndani (tunaita overflow tube) ile tube ndo deep stick yake..yaan il e tube inqvofanya kazi ni hivi ukifungua koki ile ya kumwaga oil kabla hujatoa ile tube maana yake ile oil itakayotoka kwa mara ya kwanza ni oil iliyozidi kwenye transmission system, so kujua kama imepungua inabidi afungue kile kikoki cha kumwagia oil akiona kuna oil inatoka basi ajue transmission fluid ipo yakutosha na asipaniki...but akiona akitoki kitu maana yake ni oil ipo level inaYotakiwa...
Kumbuka hili zoezi lifanywe baada ya transmission fluid ku attain operating temperature kwakua fluid at operating temperature inakua ime expand na kuongezeka volume.so you want to know the appropriate level of transmission fluid when fluid is at operating temperature.. na pia wakati unafanya hili zoezi gari iwe kwenye flat surface ili upate majibu accurate.
Hili zoezi pia linafanywa hata wakati wa ku replace/change transmission fluid...ili kujua level unafanya procedures hapo juu.. ambapo fundi mara baada ya kuweka gearbox oil (transmission fluid) anatakiwa aendeshe gari ili kufanya fluid ipate joto then arudi afungue ile koki kwenye flat surface, kuna fluid itamwagika so ile fluid illiyo mwagika ina kua termed as excess fluid ambayo haitakiwi kuwa kwenye transmission fluid baada ya hapo you are ready to go(hizi procedures ni kwa gari isiyo kua na deep stick)... Na kwa gari zenye deep stick utakuta imeandikwa ile deep stick fluid iwe wap when COLD and when HOT, be much interested na level ya fluid when hot...the readings should within the required marks indicated on deep stick and not above..ikizidi una kua na risk ya kuua seals za transmission system na kujikuta unapata leaks kila sehemu.
Kumbuka overfilled transmission system can also cause leaks na blown seals.