Prof Madiba's Son
Member
- Sep 14, 2014
- 92
- 31
Tafadhali naomba kujua kwa wale wote wenyeji wa Dar - Es - Salaam chuo cha DIPLOMASIA Kurasini taratibu za kujiunga na chuo hicho kwa ngazi certificate au diploma, kwa nini kwasabu nina kijana wangu hapa Mtwara amemaliza kidato cha nne mwaka jana angependa kujiunga na chuo hicho. Lakini pia kama kuna chuo cha sheria ambacho kinatoa kozi kuanzia certificate nifahamisheni ili nifanye taratibu za kumleta, tafadhali ukinielekeza utanisaidia sana.