Msaada kwa chuo cha Diplomasia kurasini au chuo cha sheria Dar - Es - Salaam

Joined
Sep 14, 2014
Posts
92
Reaction score
31
Tafadhali naomba kujua kwa wale wote wenyeji wa Dar - Es - Salaam chuo cha DIPLOMASIA Kurasini taratibu za kujiunga na chuo hicho kwa ngazi certificate au diploma, kwa nini kwasabu nina kijana wangu hapa Mtwara amemaliza kidato cha nne mwaka jana angependa kujiunga na chuo hicho. Lakini pia kama kuna chuo cha sheria ambacho kinatoa kozi kuanzia certificate nifahamisheni ili nifanye taratibu za kumleta, tafadhali ukinielekeza utanisaidia sana.
 

Tembelea Website: www.cfr.ac.tz

Utapata details zote hapo; Kila heri
 
Hata UDSM wanatoa certificate ya sheria ila sheria njia yake ni ndefu sana kutoka aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…