Msaada:Kwa Dalili Hizi ,Nikafanye Kipimo Gani?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Wakuu umri ni 28
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo baadhi ya dalili ziliendelea

-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)

-Uchovu wa mwili na akili

-uwezo mdogo wa kufikiri

-Kukosa hamu Ya sex ,Nikisex, uume kukosa nguvu na kutodumu ktk tendo kwani nakua sina hisia tena hadi nikae masaa matano

Note:nimewahi beba vyuma ila sikua baunsa, pia nimewahi jichua kwa miaka 10 mfululizo ila sasa ni mwaka mmoja na nusu toka niache

Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Msaada wa mawazo madokta samahani kwa kuwachosha
 
Umeelezea dalili za magonjwa mengi tu hapo... Kamuone daktari wa kawaida ndo atakupa mwanga zaidi.
 
Uko kwenye dozi yoyote ya dawa?
Au umemaliza dozi yoyote ya dawa?
Hii hali ina mda gani tokea uanze kujisikia hivyo?
Una fanya aina gani ya kazi?
 
Uko kwenye dozi yoyote ya dawa?
Au umemaliza dozi yoyote ya dawa?
Hii hali ina mda gani tokea uanze kujisikia hivyo?
Una fanya aina gani ya kazi?
Mkuu mi sijatumi dozi yoyote nina miaka miwili sasa toka ninywe dawa ya maralia
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia neuroton vidonge, baada ya kuacha kutumia dawa hizo hali iliendelea
Nakaa dukani ila maisha yangu ni ya mazoezi kila siku asubuhi ilinkupunguza maumivu na uchovu
 
Hizo Neuroton ulikuwa unakunywa kwa ushauri wa Dr au kwa maamuzi yako mwenyewe?
Jaribu kuchek level ya Potassium na Thyroid Gland kama inafanya kazi vizuri.
 
pole sana ila jitahidi kutafuta daktari mwenye uzoefu kidgo umuelezee naamini atakupa ushauri mzuri wa pakuanzia
am sorry kwa madr vijana ila siwaamini kiukweli nimeshuhudia 2 big mistake iliyofanywa na hawa madaktari masharo kwa watu wangu wa karibu so becareful my dr
 
age 25-30 what do you mean?
si useme tu una miaka 50 kama le mutuz
 
Solution mkuu hapo nenda hospital kutana na physician naamin atakusaidia narudia tena physician atakusaidia
 
Hizo Neuroton ulikuwa unakunywa kwa ushauri wa Dr au kwa maamuzi yako mwenyewe?
Jaribu kuchek level ya Potassium na Thyroid Gland kama inafanya kazi vizuri.
Niligoogle nikaona ikielezwa inapunguza maumivu
 
Hizo Neuroton ulikuwa unakunywa kwa ushauri wa Dr au kwa maamuzi yako mwenyewe?
Jaribu kuchek level ya Potassium na Thyroid Gland kama inafanya kazi vizuri.
Mkuu nimuone dikta gani, wa masuala gani yani? Sorry kwa usumbufu mkuu asante sana
 
Asante kwa ushauri chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…