Msaada kwa hili..

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
132
Reaction score
64
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu
Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA kwa nyakati halisi ila hatujafanikiwa pia mke wangu mzunguko wa siku haunana idadi ya siku maalumu Maana ziko aina tatu ambazo ni siku 26,27,28 haya ni mabadiliko ya kila mwezi, Je inaweza changia tatizo la kushika mimba ama nifanye tendo la NDOA kwa siku ipi kwa mizunguko hiyo naomba msaada asanteni
 
mkuu we cheza na kalenda tu.... pia mjitahidi kwenye mlo msikose mtunda hasa matikiti ...
hakikisha mnaandaana vizuri kabla ya tendo.
kama ni.mlevi basi punguza au acha kabisa pombe.
 
Miezi sita ni kidogo sana unaweza kudumu hivyo hata miaka3 ndipo ukabarikiwa mtoto hasa endapo mwenzi wako alikuwa anatumia sindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…