Msaada kwa hili

tandoor

Senior Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
170
Reaction score
128
Salaam wakuu
Mim ni mjamzito wa miezi mitano,tatizo nililonalo ni maumivu niyapatayo upande wa kushoto kwenye kiuno,kwa kweli huwa naumia sana nikitembea na hata nikikaa vile vile bdo nahisi yaani huwa kama kuna kitu kinanichoma.Tafadhali mwenyewe kujuwa nin sababu ya hii kitu na tiba yake.
Wassalam
 
Nenda hospitali,wewe ni mjamzito bado unatafuta majibu mepesi JF,waeleze huko unako attend clinic watakupa msaada mzuri kwa afya yako.
 
Jitahidi ukamwine gaenocologist dont take it simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…