Msaada kwa hili

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
Hivi kwann Tanzania inaitwa She na sio He
 
Sio Tanzania tu ni nchi nyingi zilizo tawaliwa na muingereza kwasababu ya umalkia wa inchi ya uingereza
 
nafikiri ni she kwasababu it bears living creature. tunaamini nchi nchi ama dunia kwa ujumla kwasababu ni reproductive basi ni she. haina maana kwamba he siyo repro lakin mimba hubebwa tumboni kwa mama so na nchi na yenyewe hubeba mimba na kuzaa
 
A weak state!!

China,Russia aint weak ila they are ref to "she", infact ni nchi 1 tu ambayo ni fatherland, Germany! Nayo wanasema its bcause nature of the name kwenye lugha yao ni Masculine,
 
hii ndo tuanaita genger bias kwa sababu vitu, mahali na wanawake wamewekwa pamoja katika nafsi ya she/her na beauty wakati katika sayansi na hata dini twatumia man au he na famine gender haitumiki kabisa. wanagender hupenda kutumia zote kama he or she, chairperson n.k kupunguza unyanyapaa. kama umeona kwenye historia kuna theory inasema The origin of man nafikiri ingefaa iwe human being
 
Nchi kuitwa "she",kama ulijifunza english vizuri ulitakiwa kujua kwamba in english countries are referred as "she".Mambo ya masculine na feminine haya.Why?Do your home work to find why.Siyo swala la nchi kuwa weak au superpower.Tusisababishe watu waone JF imechoka,tatizo sisi waTz hata kama kitu hatukijui tunataka kuchangia tu,tunadhani ukisema sijui/I don't know utaonekana mjinga.Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…