Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 924
- 1,263
JE UMEPENDA KWENDA KUSOMA UALIMU??? au umeenda kwa ajili ya bando(boom)...sasa ni hivi kama hujapapenda nenda zako tu st joseph..ni sehemu nzuri hasa kama utaenda soma maswala ya it na comp science...ila yote kwa yote cheki nini au wapi unapapenda zaid...then go for it!!!!Nilichaguliwa st joseph dar kimakosa sababu mi nimepiga arts,lakini baadae nikaenda tcu wakaniambia wamenibadilisha niende Udom Baed in ICT lakini profile yangu bado inaniandikia nipo admitted st joseph na chuo cha st joseph wamenitumia joing instruction kwa njia ya posta.Na kinachoniumiza zaidi nikitaka kulog in kwenye website ya udom ili nipate admission letter inagoma,ushauri wenu washika dau wa jmf.
Kama vp ungefanya mawasiliano na udom vingnevyo hao tcu waweza kuta walikuzingua, wewe wakomalie udom upate ukweli uko wap?