poleni na mahangaiko.,swali langu ni kwamba, mtu kama ana breed wakati hayupo kwenye hezi na anatumia vidonge vya majira tatizo huwa ni nini? na je kwanini kama akienda kukojoa anapatwa na maumivu makali?
Akapime magonjwa ya zinaa...Chlamydia,gonorrhea na syphilis!!Ugonjwa kama chlamydia hauna dalili nyingi kama magonjwa mengine ya zinaaa..ila unajisikia kama kuwaka moto ukikojoa..Wahi hospitali