Msaada kwa hili!

Msaada kwa hili!

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
heshima yenu wadau! naomba msaada mtoto wangu nimemwona sehemu fulan ya kichwa chake nywele zimetoka km upara hv... naomba mnisaidie tiba asil kwa anayejua kuhusu huo ugonjwa na unasababishwa na nn?
 
Back
Top Bottom