C Chizy Za kitaa Senior Member Joined Jan 7, 2014 Posts 167 Reaction score 13 Jul 14, 2014 #1 heshima yenu wadau! naomba msaada mtoto wangu nimemwona sehemu fulan ya kichwa chake nywele zimetoka km upara hv... naomba mnisaidie tiba asil kwa anayejua kuhusu huo ugonjwa na unasababishwa na nn?
heshima yenu wadau! naomba msaada mtoto wangu nimemwona sehemu fulan ya kichwa chake nywele zimetoka km upara hv... naomba mnisaidie tiba asil kwa anayejua kuhusu huo ugonjwa na unasababishwa na nn?