hili suala liko kwenye familia na lilianza kitambo kidogo na jamaa kuna vikao anakwepa ..
kama issue yenyewe haijatoka kwenye family levels sasa sie tunachangia nini?....waambie waende kwa mabestman wao then mshenga then kwa wazazi wa pandezote wapige kikao jibu litapatikana tuu...
usisahau kumwambia CHOCHOTE KINACHOMTOKEA MTU DUNIANI KINAKUWA KIMEANZA NA YEYE..ACHITAZAME VIZURI YEYE NDIO CHANZO
Hapo jamaa atakuwa ndio mwenye matatizo, huyo dada ajifikirie mara mbilimbili kama aendelee na hiyo ndoa au la.huyu dada anatafuta ushauri kwani hili suala wakati linaendelea yeye aweze kukabiliana nalo maana anadai mwanaume kun vikao kama viwili kaingia mitini ..
yawezekan huyo jamaa alishafunga kizazi bila kumwambia mkewe,kuonna hiyo mimba ndio kumemchanganya....habari ya asubuhi lakini..
mkuu tatizo wengi hupenda kuonyesha wamekosewa kuliko kukosea