HEARTZ Senior Member Joined Mar 16, 2012 Posts 115 Reaction score 83 Dec 2, 2025 #1 Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote , nitashukuru sana.
Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote , nitashukuru sana.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Dec 2, 2025 #2 Weka degree pembeni then yaangalie maisha kwenye angle nyingine
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Dec 2, 2025 #3 Kwa sasa tumevurugwa na vichambo heavy hatupo kwenye mood kbs samahani njoo na shida yako next time