Msaada kwa kupata uwanja mkoa wa Songwe

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
987
Reaction score
1,426
Habari ya mihangaiko ya hapa na pale wakuu.. poleni na kadha ya kupanda bei kwa vitu nchini unaochangiwa na kupanda kwa bei za mafuta..

niende moja kwa moja kwenye point naomba msaada wa kujuaa gharama za shamba kuanzia hekta 1 kwa baada nilifanyie kama makazi..napendekeza kwa maeneo ya VWAWA..MLOWO na VIJIJI VYAKE..!!

Natanguliza shukran zangu za dhati! Ahsanye

Sent from my Nokia 2.2 using JamiiForums mobile app
 
Mwakata uli mwee?
Kukazya zilinga?
 
Nicheki tuyajenge 0620739290

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…