Msaada kwa mainjinia wa ujenzi

mwanga mweusi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
276
Reaction score
452
Salam wakubwa,

Mimi ni kijana nimesomea veta ujenzi wa majumba najua kusoma ramani na kuchora pia (hii ya kuchora sio rasmi hua nawafanyia watu wanachokimudu) nishajenga vinyumba vikubwa vikubwa ila sijawai kua chini ya injinia nakua chini ya fomen sasa kuna kazi imetoka mahali kubwa tu nishaomba kazi nikakubaliwa nikajuzwa siku ya usaili wa mainjinia.

Sasa naomba muongozo ni kama vitu gani nitaulizwa ili niwe najiamini maana sijawahi hojiwa kiivyo kama kuna ishu yeyote hua natoa maelezo na kupokea maelekezo toka kwa inginia ila kwa hapa hata sijui wataniuliza nini au kinafanana na nini kwenye vipimo nipo vizuri sasa nahisi watauliza maswali ya mtego bila mm kujua.

Naomba mwenye uelewa anipe njia au ni vitu vipi watakua wanadili navyo sana ili nisiboronge.

naomba resho inayotakiwa kwenye ujezi kwenye msingi, plaster, floor, nguzo, linter, nk


ASANTE
 
acha kufanya spamming maku wewe

Moderator
 
Mkuu JF ni tofauti na FB ngoja watata waje
 
Weka picha za hizo mbao.
Na jumla unaanzia pcs ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…