Msaada kwa malipo

Msaada kwa malipo

VipodoziMbeya

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Wadau wa Jamii Forum habari zenu!
Ninamalizia kazi ya kufanya Market survey ya magari Tanzania. Katika survey hiyo pamoja na mambo mengine nahitaji kujua idadi ya magari mapya yaliyonunuliwa kuanzia Mwaka 2009 hadi 2014 by brands and model. Tafadhari naombeni msaada wenu maana mteja wangu anahitaji hiyo report ijumaa hii.

Malipo yake ni USD 120 Kama utafanikiwa kunitumia hizo data :smile-big: .
bconnect@bmmarketing.co.tz
0783566761
 
Back
Top Bottom