habari za mda huu wadau,
earlier nilikuja na uzi wa wife kutapika sana na kuchoka na kulala mda mwingi katika kipindi hichi cha mwanzo wa mimba (first trimister),nashukuru Mungu kwa sasa hajambo amefikisha 15weeks.
Ila sasa shida tuliyonayo ni kilaa baada ya kula tumbo lake linamjaa sana mithili ya kitenesi linakua gumu kweli kweli ilaa baada ya mda linaachia, Pili amekua akitokwa na matone ya damu ya rangi ya dark brownish japo si mara chache sana. Naomba kujuzwa inaweza kuwa ni tatizo gani na nini suluhisho lake?