Yaledi julius
Member
- Apr 11, 2013
- 39
- 6
Ndg zangu poleni na mihangaiko ya hapa na pale hasa ya kimaisha.kwakweli mwenyezi mungu anamakusudi yake hapangi wote waende 4m 5,kwa matokeo yangu nimeambulia hiki kidogo nimepata 4 ya 30 kwa masomo haya,Bio D,Chem D,Phys D,Geog D na kisw D je kwa matokeo haya naweza kupata chuo chochote kile.naomba kufahamishwa.nersing,na vingine ambavyo sivifahamu