Msaada: Kwa matokeo haya naweza kusoma kozi gani Chuo?

Msaada: Kwa matokeo haya naweza kusoma kozi gani Chuo?

Edgar 8900

Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
24
Reaction score
9
Naomba nnisaidieni kozi pale SUA na ARDHI

Nina Hist-D, Economy-D, na Geo-C

ASANTE.
 
Mimi naomba tu ukasome ualimu wa uchumi.DUCE.Lakini unaweza pia ukadwnload hand out ya TCU mtandaoni yenye kila kozi pamoja na CHUO husika .Natumaini utapata kile kitu chenye roho inataka.
 
Back
Top Bottom