Edgar 8900 Member Joined Jun 8, 2022 Posts 24 Reaction score 9 Jun 8, 2022 #1 Naomba nnisaidieni kozi pale SUA na ARDHI Nina Hist-D, Economy-D, na Geo-C ASANTE.
Fyodor Dostoevsky Senior Member Joined Mar 23, 2022 Posts 121 Reaction score 84 Jun 12, 2022 #2 Mimi naomba tu ukasome ualimu wa uchumi.DUCE.Lakini unaweza pia ukadwnload hand out ya TCU mtandaoni yenye kila kozi pamoja na CHUO husika .Natumaini utapata kile kitu chenye roho inataka.
Mimi naomba tu ukasome ualimu wa uchumi.DUCE.Lakini unaweza pia ukadwnload hand out ya TCU mtandaoni yenye kila kozi pamoja na CHUO husika .Natumaini utapata kile kitu chenye roho inataka.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jun 12, 2022 #3 Fyodor Dostoevsky said: Mimi naomba tu umasome ualimu wa uchumi.DUCE. Click to expand... Sio kwamba tu tumshauli ajiunge kwenye kikundi chetu cha panya road..😅 Natania tu msijekunipanya road. Mkuu wanakuja kukupa muongozo.
Fyodor Dostoevsky said: Mimi naomba tu umasome ualimu wa uchumi.DUCE. Click to expand... Sio kwamba tu tumshauli ajiunge kwenye kikundi chetu cha panya road..😅 Natania tu msijekunipanya road. Mkuu wanakuja kukupa muongozo.