Msaada kwa mfanyabiashara yeyote aliye Dar es Salaam nitatoa asante ya Tsh milioni tatu cash

LIGANGALEO

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Wana JF

Ninaishi Dar es Salaam. Nina ardhi ya kutosha Mpwapwa, Kongwa, Malinyi na Kilombero. Baada ya kufanya research ya kutosha, nimeamua niingie kwenye kilimo na ufugaji mkubwa wa kisasa ili kupunguza msongo wa kusubiria mshahara mwisho wa mwezi. Tractor nimeshaagiza Japan lipo njiani linakuja. Nina mpango pia wa kuwa na mashine ya kuvunia mpunga hapo baadaye. Kukamilisha mradi huu ili uweze kuanza,ninahitaji mkopo wa Tsh Ml. 80 mpaka Ml.100. Dhamana ninazo namaanisha Hati za nyumba zangu 4 hapa Dar es Salaam.

Nimejaribu kupita katika baadhi ya Benki, wanasema wao wanakopesha wafanyabiashara wakati mimi si mfanyabiashara. Hivyo natafuta mtu yeyote ambaye ni mfanyabiashara mwenye transactions nzuri za walau Ml 10 kwa kila mwezi, nimpe Hati ya nyumba yangu moja aende Acces Bank akakope maana Acces Bank wanakubali mtu kukopa kwa dhamana ya mtu mwingine. Likikamilika hilo asante yangu nitatoa Tsh.Milioni 3 cash.

Hivyo naomba kwa yeyote mwenye sifa hiyo, anitafute kwa namba ya simu ili tufanye mchakato.

Shukrani
 
Wana JF
Ninaishi Dar es Salaam. Nina ardhi ya kutosha Mpwapwa, Kongwa, Malinyi na Kilombero. Baada ya kufanya research ya kutosha, nimeamua niingie kwenye kilimo na ufugaji mkubwa wa kisasa ili kupunguza msongo wa kusubiria mshahara mwisho wa mwezi. Tractor nimeshaagiza Japan lipo njiani linakuja. Nina mpango pia wa kuwa na mashine ya kuvunia mpunga hapo baadaye. Kukamilisha mradi huu ili uweze kuanza,ninahitaji mkopo wa Tsh Ml. 80 mpaka Ml.100. Dhamana ninazo namaanisha Hati za nyumba zangu 4 hapa Dar es Salaam. Nimejaribu kupita katika baadhi ya Benki, wanasema wao wanakopesha wafanyabiashara wakati mimi si mfanyabiashara. Hivyo natafuta mtu yeyote ambaye ni mfanyabiashara mwenye transactions nzuri za walau Ml 10 kwa kila mwezi, nimpe Hati ya nyumba yangu moja aende Acces Bank akakope maana Acces Bank wanakubali mtu kukopa kwa dhamana ya mtu mwingine. Likikamilika hilo asante yangu nitatoa Tsh.Milioni 3 cash
Hivyo naomba kwa yeyote mwenye sifa hiyo, anitafute kwa namba ya simu 0767 87 60 86 ili tufanye mchakato

Mabenki yetu bado sana kwenye kukopesha....pamoja na kuwa na security zote hizo bado wanazingua tu? Jaribu TIB mkuu pale utapata msaada maana wana window ya kilimo na wanatoa ushauri pia wa namna ya ku-go about agricultural projects...Hebu watembelee kwanza kabla hujaenda kwa wafanya biashara
 
Hizo hati ni zako kweli au ni za nyumba ya mtu
mwingine ? Maana kama una hati kweli Benki hawashindwi kukukopesha fedha ndogo kama hizo
 
Mabenki yetu bado sana kwenye kukopesha....pamoja na kuwa na security zote hizo bado wanazingua tu? Jaribu TIB mkuu pale utapata msaada maana wana window ya kilimo na wanatoa ushauri pia wa namna ya ku-go about agricultural projects...Hebu watembelee kwanza kabla hujaenda kwa wafanya biashara
 
We Lingangaleo mie ni mdau mwenzako...
Utumie doc zangu kuchukua 80Ml utoe 3Ml kama asante, halafu uniachie msala wa kuanza kusumbuliwa na access bank kuhusiana na mkopo wako wa 80Ml "cha nkiki ikii? ote naiyo" mangi mahesabu haendi kirahisi namna hiyo..
kama unazo hati 4 za nyumba na zote zina majina yako nenda Tanzania Investment Bank pale mlimani city kwenye dirisha la mikopo ya kilimo, utapata mkopo wako bila shida yoyote minimun wanatoa 50Ml utapitishwa kwenye chujio ukipass wanakupatia
Kila la kheri
 
Kwanini uhangaike wakati una asset, kimfaacho mtu chake uza nyumba moja ufanyie hicho kilimo unachotaka faida utakayopata utajenga nyingine.

Asante sana

umemaliza kazi yote katika huu mjadala
 
Mkuu umeshwaza swala zima la partnership? Jee umeandika mchakato mzima unaonyesha unataka kulima nini na return yake ni % asilimia ngapi? Jee hizo Million 80 ukipata utazifanyia nini? Kama unao mchakato nitumie msg kisha tutaongea zaidi. Nadhani kama inaonyesha inaweza kurudisha faida tukafunja faida basi mimi naweza kusaka pesa contingent nataka kuwa partner na lazima nifanye due diligence ya unachotaka kulima na experience yako.

msilaumu Bank, kukopesha mtu ambae hajawai kulima maisha yake yote ni very risk. Bank haipo kwenye biashara ya kuuza nyumba ndio maana wanakimbia habari za dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…