Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 76
Tafadhali naomba mnisaidie mke wangu anapata shida. Mke wangu mimba iliharibika mwaka jana, damu nyingi ilimtoka. Baadae alianza kuumwa tumbo chini ya kitovu, Nyonga na Mgongo. Alipofanya Utrasound aliambiwa ana PID. Ametumia dawa kibao lakini bado tatizo halijatatuliwa. Juzi amekwenda kufanya tena Utrasound imeonekana bado ana PID tena imekuwa chronic na wadudu wanashambulia kizazi.
Nomba mwenye anajua solution ya tatizo hili anisaidie kumtibia mke wangu asiwe Infertility natamani mtoto jamani.......!
Nomba mwenye anajua solution ya tatizo hili anisaidie kumtibia mke wangu asiwe Infertility natamani mtoto jamani.......!