Msaada kwa mjamzito mwenye kichefuchefu na kutapika

Msaada kwa mjamzito mwenye kichefuchefu na kutapika

The Kop

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
209
Reaction score
93
Wakuu wasalaam.

Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji.Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu, je ni salama kutumia vidonge hivyo...?

Msaada tafadhali!
 
Hali ikiwezekana mbaya sana akaongezewae maji hospitali
. Mkate wa kuoka unasaidia. Dawa binafsi sifagilii
 
Avumiliee tuu ikifika miez4 atakuwa sawaa tuu. Ajilazimishe hivyo hivyoo hataa kama akilaa anatapika. Kuna dawa inaitwa nosic na vomidox kama sijakoseaa inaweza msaidiaa au zikamzidishiaa
 
Ila Mkuu busara unapo omba ushauri vema uwe na taarifa za kutosha kwa mfano jina la dawa lakini siyo kuandika "sijui dawa gani"unafikiri utapata ushauri kweli kwa hiyo sijui dawa gani?
 
Wakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Shehe, asitumie dawa hizo ,hiyo ni allergy ya kawaida kwa mjaujito.jitahid kubadili chakula tu
 
Ukimpa dawa hiyo mimba itatoka yenyewe.... Ukimpa dawa umepoteza akisha fikisha miezi 4 au 5 hali itapungua... Atumie maji mengi sana... Kutapika unapoteza maji mengi sana mwilini.
 
Wakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Haina dawa itakata yenyewe baada ya miezi mitatu
 
Mhhh!!! Aiseee nnachoomba
Tu wife acje akapitia hii hali
Bora tu awe ananituma
Udongo
 
Hilo tatzo limemuanza lini? na kutapika uko anatapika kila anachokula/kunywa? umejarbu kumbadilishia vyakula tofaut tofauti?

Kama kuna mda hali inatulia jaribu kumpa maji/juice(fluids) kwa wingi na kwenye vyakula mpe vile anavyojiskia kula inaweza ikasaidia

Lakini Kama hali ni mbaya muwahishe hospital yawezekana tatzo kitaalam linaloitwa "Hyperemersis gravidarum" atahitajka kupewa dawa za kuzuia kutapika (anti emetic) na kupewa fluid za kutosha (due to electrolyte imbalance)
 
Siku zingine hali inakuwa nzur..siku zingine ndo kutapika mfululizo..
Asante kwa ushauri mkuu..ntazingatia haya ulioshauri..
 
Ada
Ila Mkuu busara unapo omba ushauri vema uwe na taarifa za kutosha kwa mfano jina la dawa lakini siyo kuandika "sijui dawa gani"unafikiri utapata ushauri kweli kwa hiyo sijui dawa gani?[/QUOTE
Taken mkuu...
 
Tafuta dawa inaitwa pregnant woman, ziko phamacy

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Anywe Chai ya Tangawizi Kichefu chefu na kutapika kutakwisha.
TANGAWIZI TIBA YA KICHEFUCHEFU (1).jpg
 
Haina dawa itakata yenyewe baada ya miezi mitatu
Mkuu Mimi niliambiwa vumilia miezi mitatu itaisha ila mpaka sasa bado natapika tu 7 months tuko tofauti ni mateso kweli

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Avumiliee tuu ikifika miez4 atakuwa sawaa tuu. Ajilazimishe hivyo hivyoo hataa kama akilaa anatapika. Kuna dawa inaitwa nosic na vomidox kama sijakoseaa inaweza msaidiaa au zikamzidishiaa
Hizo Nosic zinasaidia masaa kadhaa muda mwingine natapika kawaida kwangu zimegoma nimeuliza wengine wanasema zinawasaidia sana nimeamua kuachana nazo nataabika tu kwa kweli

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wife nilimpatia NOSIC zikamsaidia ile mbaya alikuwa anakunywa ×2

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Kuna comment No 9 ni muhimu ukaifuata ni nzuri.

Ila unaweza nakutumia dawa ambazo ni nzuri kwa wajawazito kuzuia kutapika.

Metoclopramide
 
Back
Top Bottom