Shehe, asitumie dawa hizo ,hiyo ni allergy ya kawaida kwa mjaujito.jitahid kubadili chakula tuWakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Haina dawa itakata yenyewe baada ya miezi mitatuWakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Siku zingine hali inakuwa nzur..siku zingine ndo kutapika mfululizo..Hilo tatzo limemuanza lini? na kutapika uko anatapika kila anachokula/kunywa? umejarbu kumbadilishia vyakula tofaut tofauti?
Kama kuna mda hali inatulia jaribu kumpa maji/juice(fluids) kwa wingi na kwenye vyakula mpe vile anavyojiskia kula inaweza ikasaidia
Lakini Kama hali ni mbaya muwahishe hospital yawezekana tatzo kitaalam linaloitwa "Hyperemersis gravidarum" atahitajka kupewa dawa za kuzuia kutapika (anti emetic) na kupewa fluid za kutosha (due to electrolyte imbalance)
Anywe Chai ya Tangawizi Kichefu chefu na kutapika kutakwisha.Wakuu wasalaam...
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji..
Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu...je ni salama kutumia vidonge hivyo...?
Msaada tafadhali!
Mkuu Mimi niliambiwa vumilia miezi mitatu itaisha ila mpaka sasa bado natapika tu 7 months tuko tofauti ni mateso kweliHaina dawa itakata yenyewe baada ya miezi mitatu
Hizo Nosic zinasaidia masaa kadhaa muda mwingine natapika kawaida kwangu zimegoma nimeuliza wengine wanasema zinawasaidia sana nimeamua kuachana nazo nataabika tu kwa kweliAvumiliee tuu ikifika miez4 atakuwa sawaa tuu. Ajilazimishe hivyo hivyoo hataa kama akilaa anatapika. Kuna dawa inaitwa nosic na vomidox kama sijakoseaa inaweza msaidiaa au zikamzidishiaa
Kuna comment No 9 ni muhimu ukaifuata ni nzuri.Wakuu wasalaam...